05 April 2014

LADY JAYDEE NA GADNA WANAISHI KAMA DADA NA KAKA

Mwana Muziki Lady Jey D na Mumewe ambaye ni Mtangazaji wa Radio Times fm Gadna G Habash sasa wanaishi kama Kaka na Dada. Mwana muziki huyo wa kizazi kipya amesema kuwa mapenzi iliyopo kati yao ni zaidi ya mapenzi ya kawaida. Vitu vingi wanatumia pamoja ikiwemo simu,gari nk ndio maana akasema mapenzi yao sasa ni kama kaka na dada wa mama 1 baba mmoja kwa jinsi wanavyopendana

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname