Kijana
Mmoja aliyetuhumiwa kuwa Kibaka Akiwa amekaa kwa Huruma mara baada ya
Kushushiwa Kipigo na wanaodhaniwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe cha
Mjini Morogoro ..Wanafunzi wa Chuo
Kukuu Mzumbe walimkamata Kijana Mmoja anayesadikiwa kuwa kibaka
kwenye moja ya Mabweni yao akijaribu kuiba vitu mbali mbali na Ndipo
walipomshushia kichapo hadi kinachodaiwa kupoteza maisha
No comments:
Post a Comment