HII NDO JEURI YA PESA YA Peter Wa P-square ANUNUA GARI JIPYA LA ZAIDI YA MILIONI 300 ZA KITANZANIA .TAZAMA PICHA...
Baada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo
bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao
kwenye muziki, Peter amewaonyesha fans wake gari lake jipya lililomtoa
zaidi ya milioni 300 kwenye pesa za kitanzania.
Peter na ndugu zake wawili ilisemakana hawakuwa kwenye maelewano kwa
kipindi kifupi lakini baadae wote watatu wali-tweet maneno ambayo
yaliashiria wamemaliza tofauti zao
No comments:
Post a Comment