Wiki hii mitandao ya nchini Nigeria iliripoti kuwa kulikuwa na ugomvi Mkubwa kati ya
mapacha wawili wanaounda kundi la P Square,Peter na Paul Okoye na kwamba walitaka kupigana wakati wakiwa mazoezi.
Habari zilichochewa na tweet hii ya kaka yao Mkubwa ambaye pia ni Meneja wao,Jude Okoye
tweet hii iliyotafsiriwa na mitandao hiyo huenda ameachana na kundi hilo.
Hata
hivyo msemaji wa kundi hilo aitwaye Bayo Adeta alikanusha Habari hizo
wakati akihojiwa na Premium Times na kudai kuwa hafahamu habari hizo
zimetoka wapi. taarifa kutoka kwa mtu wao mwingine wa karibu alisema
maneno haya ambayo yanaeleza zaidi kuhusu ugomvi huo na mpaka ulipofikia sasa kutaka kugawana mali zao wanazomiliki.
Bonyeza kusoma zaidi
Bonyeza kusoma zaidi
No comments:
Post a Comment