24 April 2014

AUAWA NA WANANCHI KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI

Askari wa Jeshi la Polisi Kituo Kikubwa Tabora mjini wakiwa wamebeba mwili wa mtu mmoja aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za wizi huku mwenzake akiponea chupuchupu
 Maiti ya mtu mmoja aliyeuawa akitambulika kwa jina la LUNJA ambapo wananchi walimshambulia akiwa na mwenzake majira ya saa nne asubuhi
BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname