27 March 2014

MSANII TRDY SONGZ AKANUSHA TUHUMA ZA SHOGA

Screen Shot 2014-03-27 at 11.28.32 AMHatimae Trey songz amezungumza baada ya tweet hii hapa chini kusambaa kwenye mitandao mbalimbali duniani na kuwafikia watu ikiwa inasomeka ‘nadhani ni wakati wa kuwaambia mashabiki wangu, tukiacha utani…
mimi ni shoga’Trey amekanusha hizi taarifa na kwamba hii tweet imetengenezwa tu ila haijatoka na wala hajawahi kuiandika kutoka kwenye account yake ya twitter, yani ni watu tu wameamua kumuharibia kwa kusambaza uwongo.ANGALIA TWEET YAKE HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname