05 March 2014

KUFURU YA WATU WENYE PESA ZAO....ANUNUA NDEGE NA KUIFANYA GEST, ANGALIA MAPICHA YA NDANI YA VYUMBA HIVYO

Ndani ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata utandawazi, vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala na ipo karibu na uwanja wa ndege wa  Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden

Hii ni sehemu iliyokuwa ya rubani wa ndege hiyo unaweza kulala hapa kuanzia  £170 kwa usiku mmoja

The rooms are all kitted out with flatscreen TVs, WiFi and en-suites





Nyumba hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na uwanja wa ndege wa  Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden


Mmiliki wa ndege hiyo Oscar Divs alinunuwa ndege hiyi iliyoundwa 1976 Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni

Moja ya chumba katika ndege hiyo

Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
Sehemu ya kupumzikia

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname