05 March 2014

Alichopost Facebook Joh Makini kuhusu Lord Eyez

Weusi
Rapper wa kundi la Weusi Joh Makini ametumia ukurasa wake wa Facebook kuandika kwamba kundi hilo halijamtenga wala kumfukuza mwanachama mwenzao Lord Eyez ambaye anatuhumiwa kuiba Laptop ya watu na ana kesi inayoendelea polisi.
lord eyez copy

1 comment:

  1. Hizi sura zote zimekalia wavuta bangi na wabwia unga!

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname