06 March 2014

HIVI NDIO JINSI TAJIRI WA AJABU AMBAYE NI MUUZA SEMBE MAARUFU ULIVYOWASHANGAZA HATA POLISI LIVE



Hizi ni pesa ambazo zilikuwa bado hazija hesabiwa na zilikuwa zimekadiliwa kuwa Dola Bilioni 18 na baada ya kuhesabiwa zilifikia zaidi ya Dola Bilioni 22.Katika hali ya kushangaza sana Mtu mmoja ambaye ni Muuza madawa ya Kulevya amekamatwa nyumbani kwake na zaidi ya Dola Bilioni 22 Pesa ambazo zilikuwa zinatosha kabisa kwa
ajili ya kulipia huduma ya afya kwa ajili ya wanawake na wanaume wote USA kwa muda wa miaka 12.
Walioingia katika ukamataji huo walikuwa wamejipanga vilivyo. Inasemekana ya kwamba sio hiyo nyumba tu ambayo inahusika na hayo maswala ya madawa ya kulevya bali kuna zengine 27 zaidi ambazo zinafanya mambo haya na Dunia nzima kwa ujumla.Kwa sababu hii ni ngumu sana kupigana na Biashara Haramu ya Madawa ya kulevya Duniani kote Hiki ni kieneo kidogo tuu cha hizi siraha nzito ambazo walikuwa wanazitumia jamaa hawa wauza madawa ya kulevya. Hizi ni Bastora ambazo zimetengenezwa kwa Dhahabu pekee. Licha ya kukamatwa na Mabilion ya Dola katika nyumba hiyo lakini pia kumekutwa vitu vingi zaidi ikiwa na Siraha za moto za hatari za kivita, Machine Guns, pamoja na Bastora za Dhahabu, vitu vyenye Thamani kubwa pamoja na vingine nje ya madawa ambavyo viliibiwa kutoka maeneo mbalimbali. Pisto 61 zilikamatwa zikiwa na dhahabu kabisa na zengine zikiwa zina mapambo ya dhahabu Hii ni Moja ya Bastola iliyokuwa na urembo wenye picha ya mfano wa 'Mesiah' pia zilikutwa za kutosha tuu Hii nayo ilikuwa imezungushiwa Dhahabu Jamaa alikuwa amejipanga sana hapa akiwa na eneo maalum la historia ambapo ameweka Aina mbalimbali za Bastora nyingi zikiwa na dhahabu Hii ni nyumba ya kifahari ambapo mambo mengi yamenunuliwa kutokana na Bishara ya Madawa Kwa kiburi cha pesa zake jamaa ametengeneza Pango lake binafsi Hizi ni sanamu za wanyama zenye Dhamani kubwa ambazo zimewekwa kama fasheni katika Jengo hilo Zaidi ya Simba wanane wamapambo nao wamo Unaweza kusema ni mnyama halisi kumbe ni kiumbe tuu Hii ni sehemu ya kulia maisha Haya ni baadhi ya Maurembo ambayo mengi ni ya wizi Hizi ni siraha nyingi zaidi ambazo huwezi tegemea
Bunduki na pesa zaidi zilizo kamatwa

 

Pesa zaidi zikiwa zimekamatwa toka mafichoni! Begi hili likiwa limesheheni noti za Dola 100 zilikuwa na zaidi ya dola milioni moja Zaidi ya begi 18 ndogo ndogo kama hizi zilikamatwa  

Pesa zaidi

Hizi Ni Million Dollars zengine zilizo kamatwa Baadhi ya bidhaa za kichina zenye Thamani kubwa zikiwa zimekamatwa Hizi ni Machine Guns pamoja na Bastola zilizo kamatwa zikiwa zimeundwa kwa Dhahabu Lakini vyote vimechomwa moto
Chanzo The Info Justice

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname