06 March 2014

ANGALIA PICHA ZA MAUAJI YA KUTISHA YAZIDI KUITIKISA KAHAMA.KIKONGWE MWINGINE AUAWA KISA IMANI ZA KISHIRIKINA


Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga kuuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname