23 March 2014

BUNGE LAPITISHA SHERIA WANAUME KUOA WANAWAKE WENGI KADRI WAPENDAVYO


Bunge nchini  Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo.



Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita,ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini  wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema  za watoto, hasa wasichana. SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname