"Nashukuru umenisikiliza my ndugu Le Big show Le Mutuz nilikwambia na
kila siku nikiongea na wewe nakwambia, achana na vinuka mkojo wa mitaani
, unakaa na watu wasiongea mambo ya maana kuanzia asubuhi wakiongea la
maana ni ku snitch mtu, wewe ongea na matajiri wakuambukize harufu
nzuri ya ankara sasa nakuona jinsi unavyo shine, mie tangu nijue hiyo
kanuni sipati shida na mtu nni mwendo wa salamu,Big up na endelea kunisikiliza utapata mengi ......"SINTAH

No comments:
Post a Comment