05 February 2014

DADA WA KAZI ANAVAA HIVI , MAMA MWENYE NYUMBA UPO UNAANGALIA TU, UNATEGEMEA NINI?Wapo watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu nyumba, dada wa kazi akijiachia namna hii na mwenye nyumba

unaangalia tu madhara ni makubwa labda kama mnaishi wawili tu hapo ndani ila kama
unaishi na mumeo kazi unayooo..!!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname