16 February 2014

ALLY KIBA AFUNIKA MBAYA KATIKA SHOW YAKE YA Muscat..TAZAMA PICHA



1
JUZI ilikuwa Valentines Day na msanii kutoka Bongo Ally Kiba alikuwa anashow pande za Muscat na show aliyopiga unaambiwa haijawahi tokea kwa msanii yoyote aliyeenda kufunika kama Ally Kiba jana. Kila wimbo aliokuwa akiuimba watu walikuwa wanashangilia na unaambiwa ilikuwa ni Live Band tu.
23

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname