Leo
majira ya asubuhi msanii wa Bongo movie aliweka picha huku akiwa
amekumbatiwa na mwanaume na kusema kuwa "nimemisi kumbatio la huba"
kutokana na kauli hiyo wadau wameweka maswali mengi na kuuliza je huyu
ndiye mume mtarajiwa wa Wastara au la. vitukovyamtaa tunatafuta ukweli wa
swala hili kisha tutalifikisha kwenu wadau wa Tovuti yetu

No comments:
Post a Comment