Mwanamuziki Naj ambae kwa sasa anaishi
Uingereza ameelezea story nzima ya mahusiano kati yake na mr. Blue
yaliyodumu kwa muda kidogo kabla ya kuchana mwaka jana mwanzoni. Naj
anasema Blue ndo alikua boy wake wa kwanza na ndo aliyemtoa bikra.
Naj anafunguka kwamba hakua anajua kama
kipindi yuko na Kabaiser kwamba alikua na mademu wengine wawili.
Anasema Blue alikua mpole kwake na mstaarabu na wala hajutii kukutana
nae maishani na kumfanya awe mwanamme wa kwanza kumvulia chu.....Naj
ambae kwa sasa yupo masomoni uingereza alisema mahusiano yao yalikua
magumu kutokana na umbali waliokua nao na mambo flan ambayo alisema ni
ya kiprivate na hawez kuyaweka hadharani

No comments:
Post a Comment