27 January 2014

ANGALIA PICHA ZA KWANZA ZA ALIEKUWA NYOTA WA ISIDINGO LETTIE MATABANE ALIVYOAGWA


Bra G...akiwa mwenye sura ya huzuni wakati wa ibada ya mazishi ya Lettie iliyofanyika Jumamosi, Jan 25 J'Burg Afrika Kusini
'Parsons' wa Isidingo akifuatlia kwa makini ibada ya mazishi ya Lettie. kwenye Isidingo alikuwa kama dada yake

..baadhi ya waombolezaji waliofurika kanisani wakati wa ibada.
Pichani juu na chini, Lettie Matabane enzi za uhai wake.
Lettie au Lesego Motsepe, alizikwa jana Jumamamosi kwa kuchomwa moto katika makaburi ya familia.
R.I.P

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname