Brigitte Alfred (Miss Tanzania 2012): Nawekeza hela yangu kwenye ardhi
Wakati ambapo mastaa wengi wa kike wa Dar es Salaam wanakimbilia
kununua magari ya kifahari, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred
anafikiria tofauti. Mrembo huyo anawekeza hela yake kwenye ardhi.
Brigitte amepost picha kwenye Instagram inayomuonesha akiwa kwenye
kiwanja anachokinunua/alichokinunua huku akiwa na watu wawili
wanaomuonesha kitu kwenye karatasi.
“Putting my money on such investments-land..early morning surveying,” ameandika kwenye picha hiyo
No comments:
Post a Comment