03 December 2013

HII KALI...LG ELECTRONICS YAZINDUA VIYOYOZI VYA KUFUKUZA MBU JIJINI DAR

01-2Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya LG Electronics wa Afrika Mashariki, Moses Marji (kushoto), Mtafiti katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dk Billy Ngasala na Meneja Masoko wa LG, Soyoung Lee, wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuza mbu viitwavyo ‘LG Mosquito Away’ jijini Dar es Salaam leo. 02-3 
Mtafiti katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dk Billy Ngasala akihojiwa na waandishi wa habari muda mfupi baada ya uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuza mbu viitwavyo LG Mosquito Away jijini Dar es Salaam leo.    04-2 
Baadhi ya watu waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuzia mbu vya LG Mosquito Away jijini Dar es Salaam leo.  Viyoyozi hivyo vinatumia mawimbi ya kielektroniki kufukuza mbu waenezao ugonjwa wa malaria.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname