Artist anayewakilisha Zenji ktk game ya bongo flava Berry white
inasemekana amelichoma Moto garI la mpenzi wake na Gari Hilo likateketea
kama unavyoona hapo, kwa mujibu wa cha chanzo chetu cha habari kinadai
kuwa chanzo cha tukio Hilo ni baada ya Berry kushtukia dem wake ameenda
kufanya mambo ya chumbanI na mwanaume mwingine, ndo huku Nyuma jamaa
akaamua kupiga kiberiti Gari, bado tunaendelea kumtafuta berry white ili
na yeye atoe ya moyoni.... Sema pyaaaaaa
Artist Berry White |
Hii ndo ndinga iliyopigwa Moto na Msanii Berry White, nia aina ya Spacio na mwanzo lilikua lina rangi Nyekundu |
No comments:
Post a Comment