DIAMONDA AMBULIA TENA MATUSI BAADA YA KUPOST PICHA HII ALIPOTAKA KUWAUMBUA WALIOMPONDA ALIVYO VAA KWENYE HARUSI YA PETER
Kuna uwezekano watu walikuwa wameshaanza kuganga yajayo na kusahau
kuhusu kile alichovaa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye harusi ya
kimila ya Peter Okoye wa P-Square huko Lagos, Nigeria Jumapili
iliyopita.
Wiz Khalifa (kushoto), Diamond na Dwayne Wade (kulia)
Lakini leo Platnumz ameamsha upya mashambulizi mengine ambayo safari
hii yanatokea kwa wabongo, baada ya kupost picha yake akiwa na vazi
ambalo limekuwa gumzo kuanzia kwa wanaijeria waliomponda kwa kusema
amechemka. Lakini picha ya leo imechanganywa na picha mbili za mastaa wa
Marekani, kushoto Wiz Khalifa na kulia mchezaji wa Basketball wa timu
ya Miami Heat Dwyane Wade, na sio kwamba ameweka picha zao tu bali picha
zao wakiwa na mavazi ya suruali fupi ‘njiwa’ kama aliyovaa yeye.
Huenda alitarajia kuwa ‘prove wrong’ wote waliomsulubu kwa kumwambia
amechemka, kwa kuwaonesha kuwa hata mastaa wakubwa huvaa hivyo, lakini
hiki ndicho alichoambulia kutoka kwa followers wake wa Instagram:
[ @ ] kagebby: Hahahahahahahahaha……….daimond am sorryyy dear..bt
smtyms u have to accept that u a wrong….what ever u do to justfy the
situation makes it worse…..tunakubali talent yako bt….sorry dear
UMECHEMKA MBAYAA….SO FANYA KAMA UNASAHAU HIVI HYO SURUALI YAKO KAMA YA
JOKER AU CLOWN…..THEN TO MOVE FORWARD AU SIO..MKALI.
[ @ ] mwatumu37: Diamond yani bora ungekaa kimya sasa hapo ndio
umetibua kabisa! yani Huyu @realsarahcrystal amekudanganya hatujasema
sio fashion kwanza kabisa sio kila stely enaendana na mwili wa mtu pili
inatengemea ni wapi wewe ulienda culture wedding ungepaswa uvae
kitamaduni zaidi nadhani uliona wanainger walivyo vaa acheni kumtia
diamond kichwa nguo aliyovaa haiendani na shuguli soma comment kwa
iyanya wanainger wamesemaje.tukubali kukosolewa
[ @ ] wildromann: Wiz n wade wote waliekwa fashion police tht hawajapendeza so usijipe moyo that u look like them NO
[ @ ] university_tz: now i can see how blind yu are @diamondplatnumz
! how stupid yu are bwana mdogo!…toa izo goggles zako feki aungalie the
difference btn yu and’em….tunajua hiyo outfit ina exist ktk real
world…bt not the way yu did…hao majamaa wamepiga suti za bei hatar
hatar, yaan iyo style imeendana na uzur na bei ya suti zao! nw look at
urself! angalia iyo shati ya tetroni uliyovaa! surual last time
nimemuona nayo wema sepetu iyo! cheki na izo ngwasuma zako za manzese!
shame on yu! swallow ur pride bitch and accept apo umebumaaa star wa
tandaleee!!
[ @ ] zushali: @diamondplatnumz fashion police. U need a stylist for
real to dress u according to the occasion sio kutuvalia Michael jackson
style wakati una masculine body
[ @ ] sazaf: @diamondplatnumz naona ndugu yangu unakoenda kubaya
inapnesha hujui tofauti alichovaa #wizkhalifa na alichovaa #waynewade
kijana ni tofauti na huo mcharuko uliovaa wewe hebu angalia tofauti
kijana usiwe msanii wa kucopy style za watu ww ni msaani wa tz wakilisha
tz dah wao wamevaa suit bora na ww hio dnt touch ungevaa na suit kijana
jiangalie sana ok
[ @ ] mwatumu37: Sikiliza mkasi @iamsheriangowi alivyosema omba
ushauri kwake wa mavazi namkubali sana huyu jamaa wewe ni msani mkubwa
uwe unakubali kukosolewa sisi Hatukuchukii wanao kumchukia ndio hao
wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
[ @ ] kipereto unajuwa @diamondplatnumz tatizo sio nguo hiyo fashion
yako ungesubiri siku nyingine sio harusi ya mtu ndio uvae hiyo then sio
watanzania peke yao hata uko naija wamekusema vile vile angalia blog za
naija.sisi wabongo tuna tabia hata kama myu amekosea hatuwezi kumwambia
ukweli sijuwi kwanini mwambieni mtu ukweli ili abadilike na sio kumpa
sifa za kijinga juzi kavaa hivyoo je akipata bahati ya kwenda obama si
atavaa chupi.nakwanini mtu akisema ukweli mnasema chuki ,wivu sijui
fitina halafu kumbe unasemanga comment za watu ok basi sawaaaaaa
[ @ ] 55_star: Nimeipenda fashion yako@diamondplatnumz lkn msema
kweli ni mpnz wa mungu kwakweli hujapendezaa kabisaaa c lzm kila kitu
tuige jipange tena bro next time vaa kinachoendana na mwili wako.ila big
up kwa kazi zako.
[ @ ] evaristnyororo: Bora umewaonyesha wabongo maana nchi mzima ilipinga ulivovaa kwenye wedding,halllaaa wasaf
[ @ ] jaka_reynolds: Ile it was traditional wedding,so alitakiwa kuvaa accordingly,sio kuvaa iyo skin tyt ya wema.
[ @ ] 1989naa: @teddykaegele i dnt knw more abt fashion ila mmmmmh
,,,not hate …4 me , big No,,,hata fashion inaenda na sehemu husika,,yes
ts fashion ila cna uhakika na uvaaji huu…katika tukio km hilo pia co
kila fashion inampendeza mtu..nyingine ukiona hazikutoi sexy una
acha,,sina uhakika kama D alipendeza,cmchukii jus maoni yng tu
[ @ ] bongosuper: I dont care abt that fashion ni hukupendeza afu haikuendana na diamond
[ @ ] classychristianline :Hapana@diamondplatnums style hiyo ungevaa koti nawe ndo hapo sawa!
[ @ ] michanolive: Unekuwa kama katuni wa masudi kipanya @bongosuper
wenzie wapo katika culture wedding et yy kaenda kavaa old school
hahahahah mbutaaaaa @diamondplatnumz
[ @ ] anniepeter : Xo lazima kuvaa kama wao kwani kazaliwa kwao?
angevaa kama wao mngexema pia. 2badilike jaman hating null lol!
[ @ ] najjimnadir: Hile ilikua traditional wedding, anatakiwa ajue nyakati na matukio sio fashion
[ @ ] cierarockss: Sasa ungevaa Na suit afu hiyo siyo sehemu yake.
Kama kwenye ile msiba ndo vazi kidogo LA harusi. Ila sio mbaya uzuri
unajiamini kwahiyo ilionekana sawa
[ @ ] melbamesha: Ok Hun I am not going to criticise you because your
trying but one thing I know you need to fire️ your stylist and hire a
new one ASAP @diamondplatnumz … And the rest of you break a leg.. He is
human
[ @ ] saidkitamo: cyo kila fashion itampendeza mtu kiukwel kwa hapa
ulichemka vibaya pia ulishindwa kutofautisha nyakat myb kwenye birthday
waweza kwenda na hko kivazi lakin kwenye wedding apana hlo ndo tatizo
kubwa lilokuangusha kijana next tym kuwa makin coz nilitembelea ata kwA
iyanya alipost pic hyo most of zem wamekudiss ww de way ulivyo vaa
source: Bongo5
For families awaiting spring/summer 2010, plan brilliant along with strong hues. Even though searching right now strong, audacious, along with lovely hues gucci replica sale splashed across clutches, sneakers, along with apparel. Your Fendi N Handbag wedding rings inside Brand-new Calendar year are generally absolutely hot, absolutely brilliant, along with absolutely large to watch out for this specific chanel replica sale. Don't assume all tote buffs are generally higher education basketball supporters, nevertheless More than likely most of your current important people thankyou. Earlier this end of the week louis vuitton replica sale along with My spouse and i joined the fact that was suggested because higher education basketball competition along with sport in the one hundred year, your Arkansas Point out or. The state of michigan sport. The two vlad along with My spouse and i satisfied by way of arkansas Point out athletics even though many of us ended up individuals generally there all of which will the two enjoy chanel replica sale Point out so that the stop of your energy. Many of us perhaps stormed your discipline following sport. In case you searched in TELEVISION SET with the swarm involving scarlet along with greyish many of us ended up only two in the men and women around.
ReplyDelete