Ni mwezi umepita tangu kuanzisha kampuni yake a
fashion, Mtoto wa Rais Uhuru kenyata ”Muhoho Kenyatta” amekaa tena katika
headline lakin safari hii ikiwa ni kwa Mambo mabaya…
ishu ilitokea wikendi iliyopita katika Mercury
Lounge Nairobi ambapo baadhi ya wakenya walikua wakijivinjari baada ya kazi
wiki nzima.. Kati ya Waliokuepo ni mfanyakazi wa “Classic 105” Victor Okwaro
ambaye alikua akijipumzisha na binamu zake pamoja na Mama watoto wake.
Kipindi wapo hapo kijana mmoja alijitokeza na kuforce
kuondoka kupitia katikati ya meza alipokuemo Victor na nduguze.. Victor
Alijaribu kumuambia kijana huyo ambaye alionekana kalewa kutumia mlango wa
kawaida wa kutokea lakini kijana huyo alimjibu kwa maneno machafu ambayo
yalimuudhi Victor na kumkunja motto wa rais huyo…Mabaunsa walijitokeza na
kumtoa kijana huyo ambaye baadae aliamuru Victor na Familia yake Kutolewa nje
ya lounge hiyo…
No comments:
Post a Comment