Kajala Masanja.
Msanii wa filamu Kajala
Masanja atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka huu, baada ya mumewe kukata rufaa.
Hukumu ya rufaa ilibidi isomwe leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam
lakini imeahirishwa baada ya Jaji aliyetakiwa kusoma hukumu hiyo kupata hudhuru!
Chanzo: GPL
No comments:
Post a Comment