Kampuni yenye jina kubwa Duniani ya Sumsung Imezidi kujitanua zaidi hasa
katika tecknolojia yake kwa kutengeneza Tv yenye uwezo wa Kuonyesha
Stesheni Mbili kwa Wakati Mmoja.Sasa aina maan kugombana tena
kwani........
Kwenye screen, vipindi viwili huonekana kwa kufifia
lakini ukivaa miwani za 3D zilizotengenezwa na earphones zake, picha
hujitenga na mmoja anaweza kuangalia mpira na mwingine kuangalia
tamthilia ama kipindi kingine akipendacho.
TV hiyo inauzwa paundi 7,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 17.
TV hiyo inauzwa paundi 7,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 17.
No comments:
Post a Comment