20 November 2013

AUDIO: Msikilize Mganga wa kienyeji Aliyekuwa anataka kusafisha Nyota ya Msanii KEVOO HARD ili avume kama Q CHILLAH

Msanii wa Bongo Fleva KEVOO HARD
MIMI MSANII KEVOO HARD NIMEPIGIWA SIMU NA MGANGA TOKA SUMBAWANGA AMENITISHA SANA KWA KUSEMA ANAWEZA NISAIDIA KISHIRIKINA ILI NIPENDWE KATIKA SANAA NA HII NDO SAUTI YAKE NIMEMREKODI UKITAKA KUJUA UKWELI KUHUSU HII KITU NAOMBA NIPIGIENI NAMBA YANGU NI (Anataja Namba) SIKILIZA HAPA MAZUNGUMZO HAYO YA SIMU

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname