18 November 2013

ANGALIA VIDEO Diamond kwenye harusi ya Peter wa P Square2

d4
Diamond akiwa Nigeria kwa ajili ya kazi yake ya ku-shoot video zake pia amepata nafasi ya kuhudhuria harusi ya Peter wa P Square  ambayo ilihudhuriwa na wasanii wengine kama Iyanya, Hizi hapa ni video na picha kutoka kwa Diamond ambazo alipiga usiku wa harusi hiyo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname