16 October 2013

NORA APATA MPENZI MPYA BAADA YA KUMWAGANA NA GEOFREY KUSILA.

Nora na jamaa huyo

Nuru Nassor(Nora) ambaye ni star wa siku nyingi wa filamu na maigizo nchini amepata mpenzi mpya baada ya kumwagana na Geofrey Kusila. Nora aliweka picha Instagram akiwa na jamaa huyo na pembeni kukiwa na mbwa na kuandika ".na mlivyosawigika kama huyu mbwa, mjipange nina hasira na nyinyi hadi Mungu anajua". Nora alipoulizwa na paparazi
wa Gpl kuhusu mwanaume huyo alijibu "Mimi ni mwanamke hivyo kuwa na mpenzi ni lazima na huyo uliyemuona ni mwanaume, hivyo haina haja ya kujibu na kuhusu anaitwa nani hiyo ni siri yangu, siwezi kuweka wazi jina lake kwa sasa"



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname