29 October 2013

MSANII Mkali WA RAP Kutoka South Africa Apigwa Risasi



Khuli-Chana-D’-Banj-and-more-to-perform-at-StarGame-Finale-390x225

Asubuhi ya Tarehe 28 October, Ilikua ni siku ya Bahati mbaya kwa mmoja  wa marapper wakali kutoka South Africa aitwae Khuli Chana baada ya gari lake kushambuliwa kwa Risasi na Polisi.
Rapper Huyo alimiminiwa Risasi wakati akiwa katika gari lake alipokua akitoka Petrol Station kujaza mafuta kwenye gari na  ndipo mapolisi walipoanza kushambulia gari lake kwa risasi bila ya kutoa onyo na kumuumiza rapper huyo kwenye mkono wa kulia na
mgongoni kwa risasai. Kisa cha rapper huyo kupigwa risasi inasemekana kuwa ni kumfananisha rapper huyo na gari lake, na wahalifu ambao walikua wakitafutwa na polisi.
Habari kutoka kwa meneja wa rapper Khuli Chana, amesema kuwa rapper huyo alikimbizwa hospitali kwa ajili ya kupata matibabu haraka na kwa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname