29 October 2013

HATARIIII......Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100

Photo: Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.

Washukiwa walikamatwa karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza, wakawapekulia wakakutwa mteja ana 100 million na mganga ana kiganja ambacho bado kibichi kinatoa damu, kina tunguri pia na nywele za binadamu

Taarifa zaidi => http://bit.ly/HsvvgD
Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.

Washukiwa walikamatwa karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza,
wakawapekulia wakakutwa mteja ana 100 million na mganga ana kiganja ambacho bado kibichi kinatoa damu, kina tunguri pia na nywele za binadamu

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname