06 October 2013

HII NDIO SIRI YA MZUKA WA SHILOLE JUKWAANI MPAKA ANAJIACHIA KIHASARAHASARA


Shilole amefichua kuwa, role model wake katika muziki kwa sasa ni nyota Lady Gaga ambaye kitu kikubwa alichojifunza kutoka kwake ni kujiachia pindi anapokuwa jukwaani, na kuwaridhisha wale ambao wametoa pesa zao ili kushuhudia burudani kutoka kwake.


Shilole pia amewataka mashabiki wake kukaa tayari na kolabo ambayo aliwaahidi kuwa atafanya na mwanamuziki Jennifer Lopez ambayo anatarajia kuikamilisha mwisho wa mwaka huu atakapokwenda tena ziarani Marekani.


Source: Vituko vya mtaa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname