16 October 2013

HEBU CHEKI AZAM COMPLEX INAVYOZIDI KUBORESHWA SIKU HADI SIKU NA KUWA YA KIMATAIFA ZAIDI

Hiki ni kitu kipya ndani ya Azam Complex, makao makuu ya klabu ya Azam FC, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Upanade wa juu wa Canteen kuna michezo ya aina mbalimbali kama huu. Kulia ni beki wa Azam FC, Aggrey Morris na kushoto shabiki wa timu hiyo Ally Mkonya

Inapendeza na wageni wanafurahia pia

Jamaa wanakwenda kuagiza chakula Canteen

Canteen nzuri

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname