PICHA 6 ZIKIONYESHA VURUGU ZILIZO ZUKA BUNGENI JANA
Hizi ni badhi tu ya picha za songombingo lililotokea jana ndani ya
ukumbi wa bunge.Wabunge wa CHADEMA walipopambana na polisi na kisha
kudhibitiwa vilivyo.
Picha moja inaonesha Mh.Mbatia akishangaa utoto,upuuzi unaondelea kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
No comments:
Post a Comment