MHE JOSEPH MBILINYI AKIWA KABEBWA JUU JUU NA ASKARI WA BUNGE MJINI DODOMA.
Askari wa bunge la jamhuri wa Muungano
wa Tanzania wakimdhibiti Mhe mbunge wa Chadema jimbo la Mbeya Mjini,
Joseph Mbilinyi ndani ya bunge wakati akitolewa ndani ya ukumbi wa bunge
hilo mjini Dodoma leo. Picha kwa hisani ya Abuubakari Nasibu
No comments:
Post a Comment