Aliyekuwa
Miss New York Nina Davuluri mmarekani mwenye asili ya Kihindi ameweka
historia ya Marekani baada ya usiku wa juzi kutwaa taji la Miss Amerika
2014.
Nina ameingia katika historia ya ulimbwende nchini Marekani baada ya kukamata nafasi ya kwanza ya mashindano ya urembo yaliyofanyika katika mji wa Antlantic ambapo pia amekuwa Miss New York wa pili kuwa Miss America.

![]() |
| Nina Davuluri - Photo: Getty Images |

No comments:
Post a Comment