Msanii kutoka kundi la Tip Top
Connection Madee amesema kuwa nyumba yake aliyojenga maeneo ya Mbezi ya
Morogogo Road mpaka sasa imemgharimu karibia milioni 125 na bado
nyumba hiyo haijakamilika kama anavyotaka yeye.

Madee alisema kuwa alianza kujenga
nyumba hiyo kama miaka 4 iliyopita na amesema kuwa ni pesa anazopata
kwenye muziki peke yake tangua aanze kama miaka 14 iliyopita. Mungu
akipenda amepanga kuhamia siku ya b'day yake mwakani tarehe 23 April.

MSIKILIZE hapo chini zaidi;

No comments:
Post a Comment