09 August 2013

TAZAMA PICHA 2 ZA DIAMOND WAKATI AKITENGENEZA TANGAZO LA COCACOLA

Baada ya jana Cocacola kumchukulia private jet toka Nairobi hadi Dar es Salaam, Bongo Flava Prince, Nasib ameingia mzigoni kushoot tangazo jipya la Cocacola. Kwenye picha za utengenezaji wa tangazo hilo alizoziweka kwenye Instagram,
Diamond anaonekana akitembea huku akinywa soda hiyo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname