02 August 2013

MZIMU WA KIFO BADO WAZIDI KUWATAFUNA WASANII WA BONGO,SASA MAMA WA SUPER STAR WA SHAA

Mwanamziki SHAA ambaye anafanya Game ya Muziki wa Bongo Fleva, Amefiwa na mama mzazi.

GUMZO LA JIJI linatoa pole sana kwa Shaa pamoja na Familia yake.  Mungu ampe Nguvu katika kipindi hiki cha Msiba.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

R.I.P Mama Shaa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname