Nina tatizo linanikabili sijui kama na
wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na
mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku
atanielewaje,nakosa
amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia
yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala
naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata
ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.
No comments:
Post a Comment