01 August 2013

INASIKITISHA: Hawa ndo WATANZANIA WAWILI WALIOJERUHIWA VIBAYA NA WATU WANAOKADILIWA KUWA 20 HUKO UGIRIKI. SHUHUDIA







Na Michuzi Blog

Salam Kaka Michuzi na Watanzania wote
 Naomba niwekee hizi picha nne za Watanzania wawili waliojeruhiwa vibaya na kikundi cha watu wapatao 20 hadi sasa haijajulikana ni akina nani kama ni Waalbania au Ni vishoka wengine au Wagiriki. Tukio limetokea jana usiku wakati walipopita karibu na watu hao waliowajeruhi ambao wanasema walikuwa wamevunja gari za watu kuiba sasa inaonekana kuwa walifikiria wataita polisi ndipo walipowavamia
 Ahsante - Mdau Ugiriki

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname