HIVI NDIVYO MPIGA PICHA WA NEW HABARI ALIVYO FANYWA WAKATI WA MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU WA THAILAND UWANJA WA NDEGE DAR
Mpigapicha wa New Habari Anthony Siyame akidhalilishwa na askari wa
Idara ya Usalama wa Taifa wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu
wa ...Thailand Yungluck Shinawatra baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa
kimataifa JNIA. Cha ajabu ni kwanba wakati vyombo vya habari
vijinyanyapaliwa na
kukosa kufanya kazi yake kwa uhuru na uzarendo ndani
ya nche yake zawa wanahabari wengine wakigeni walipewa ushirikiano kana
kwamba ni miungu na kufanya kazi zao bila bughuza kwa kupiga picha hadi
uvunguni kwa waziri mkuu huyo kutoka kwa wakulima mpunga Thailand.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment