05 August 2013

BREAKING NEWS:KESI YA MUME WA JOYCE KIRIA AITWAYE.. HENRI KILEWO NA WENZAKE YAFUTWA NA MAHAKAMA, SASA WAPO HURU

clip_image001Watuhumiwa wa Kesi  ya ugaidi  iliyokuwa inawakabili wanachama wa Chadema akiwemo Henry kilewo wameachiwa Huru Baada ya Kesi Yao kufutwa na jaji katika mahakama kuu Huko Tabora

Habari zaidi zitakujia HAPAHAPA KAA nasi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname