Bow Wow alivyombusu Tyra Banks mwaka
2009 So, jana imetokea tena. Awamu hii ni katika mazingira tofauti. Ni
katika show yake mwenyewe Bow Wow ya 106 & Park ya BET na Tyra
alikuwa mgeni.
Awamu hii pia Tyra ndiye aliyeitaka busu hiyo. “You tryna do the remix?” Tyra alimuuliza Bow Wow.
Baadaye
aliinua miguu yake na kuweka kwenye mapaja ya Bow Wow na kukutanisha
lips zake laini kwa dogo Bow Wizzy. Baada ya tukio hilo, rapper huyo wa
YMCMB alijisifia kuwa yeye ndio mtangazaji bora zaidi wa kiume kwenye
TV.
No comments:
Post a Comment