ANGALIA PICHA ZA MSAFARA WA MBIO ZA MWENGE ULIVYOPATA AJALI MKOANI DODOMA:
MBIO za Mwenge wa Uhuru uliokuwa ukikimbizwa katika Wilaya ya Dodoma mjini zimeingia Dosari baada ya kupata ajali kilometa 3 kabla ya kukabidhiwa wiliya ya Mpwapwa.
Ajali hiyo iliyotokea jana majira ya 2;24 asubuhi katika mtelemko wa mlima fufu wilayani Chamwino na kusababisha watu 5 kujeruhiwa na kukimbizwa katika hospital ya mkoa wa dodoma.BOFYA HAPA INAENDELEA
No comments:
Post a Comment