![]() |
| ...Akijificha Waandishi wasimpige picha |
JAMES Hussein, mkazi wa Kimara, Dar alikuwa na wakati mgumu wa kukwepa kamera za mapaparazi zilizotua Mahakama ya Wilaya Ilala, jijini Dar juzi baada ya kufikishwa kwa kosa la kujifanya
trafiki.Tukio hilo lilijiri mahakamani hapo Agosti 22, mwaka huu ambapo mshitakiwa alikana mashitaka mbele ya Hakimu Mfawidhi, Joyce Minde.
Trafiki feki huyo alitumia muda mwingi kujificha sura ili kamera zisimchukue lakini alichemsha kwani kila alipojifunua kidogo alikuta kamera ziko mbele yake.

No comments:
Post a Comment