31 July 2013

IRENE UWOYA ANAKUJA NA SHOW YAKE YA KUTENGENEZA NA KUKARABATI NYUMBA ITAKAYO RUSHWA CLOUDS TV



Irene Uwoya anakuja na kipindi chake kipya cha Tv kwa ajili ya kutengeneza na kukarabati nyumba mbalimbali za watu atakazotembelea. Kipindi hicho kitarushwa kupitia Clouds Tv na tayari actress huyo ameanza kushoot kipindi hicho kama
anavyoonekana pichani hapo juu. Irene Uwoya ni muigizaji mwingine aliyeamua kugeukia vipindi vya Tv pia ukiachilia mbali kuigiza filamu wengine ni Rose Ndauka na Wema Sepetu ambaye show yake kuhusu maisha yake halisi pia kitarushwa Clouds Tv kuanzia mwishoni mwa mwezi wa nane mwaka huu. 
"Kipindi changu kipya kinahusu nyumba natengeneza na kukarabati nyumba..plz nipen support tuwasaidie watanzania wenzetu ",Alisema Irene.
Stay tuned!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname