29 July 2013

HUYU ndo MTANZANIA TAJIRI ANAYE ENDESHA MAGARI YA KIFAHARI NA YA BEI KULIKO MTANZANIA MWINGINE HAPA TANZANIA


Kama ndo machine aliyo nunua safari hii basi katisha aisee maana hii ni one of the most expensive and luxury cars around na hela yake ni ndefu sana. It's confirmed gari kanuna na soon mtaiona mitaa ya kati. Davis yaelekea ni mpenzi sana wa magari mazuri na of course uwezo wa kuyanunua anao cause he works so damn hard. Hongera sana Davis can't wait to see this new toy in Bongo.  Hii ndo inaitwa "Tumia Pesa Ikuzoeee"

Hi ni gari nyingine aina ya Lamborghini anayo miliki mfanyabiashara Davis Mosha huko Bongo. 
"Heshima Pesa Shikamoo Makelele"
source-jestinageorge

1 comment:

  1. Tajiri ni mcha MUNGU tu,,,, mwenye uhakika na maisha ya kesho but you have money na hujui kama kesho utaiona is nothing guys

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname