Bibi
Johanna Mazibuko mwenye miaka 119 ndiye anayeaminika kuwa mtu mwenye
umri mkubwa zaidi duniani, ripot ya BBC. amegundulika katika mji mdogo
wa kusini-magharibi ya Johannesburg, Afrika Kusini
Bibi Mazibuko akiwa na mwanae mwenye miaka 77
Hata hivyo mtu mwenye umri mkubwa zaidi aliyewahi kuwekwa katika rekodi
za dunia alikuwa Jeanne Calment kutoka Ufaransa aliyefariki August 4,
1997 akiwa na miaka 122.
No comments:
Post a Comment