27 July 2013

HIKI NDO CHOO CHA DHAHABU KILICHO NUNULIWA NA KANYE WEST NA MKEWE .Angalia PICHA


Kwenye nyumba ya Kanye West Na Kim Kardashian yenye thamani ya dola Milioni 11 za Kimarekani kuna vitu vyenye thamani kubwa kama vitanda, jiko na makoche, ila kilicho make headline zaidi ni vyoo vyao vyenye thamani ya dola Milioni 1 za KiMarekani. Kwa mujibu wa HipHopWired.com, West na Kardashian wamenunua vyoo vinne vya Gold vyenye thamani ya dola milioni moja. Bonyeza Read More Uone Picha Zaidi


 
 
SOURCE-sammisago.com

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname