14 May 2013

Picha 4 za Wanafunzi Waliovamiwa na Mashetani Shule ya Secondary Manzese


Wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese iliyopo Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam wamevamiwa na mashetani na kuanguka hovyo darasani huku wakipiga kelele na kuongea
maneno yasiyoeleweka na kusababisha hofu kutanda maeneo hayo.

Tukio hilo limetokea kuanzia saa nne asubuhi ambapo alianza mwanafunzi mmoja kupiga kelele na kuanguka wakati wakiendelea na masomo ambapo alitolewa nje ya darasa lakini cha kushangaza waliendelea kuanguka wengine wengi huku wakipiga kelele na kupigana kama vichaa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname