20 April 2013

MAJANGA TENA MAREKANI...ARDHI YAMEZA MAGARI ANGALIA PICHA


.


.
                   Hili tukio limetokea jana Alhamisi huko Chicago katikati ya makazi ya watu ambapo ni dereva mmoja tu ndio alijeruhiwa, chanzo ni kupasuka kwa bomba la maji hivyo ardhi ikajaa sana maji.
. 
.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname